Mwandishi wa Uganda ashtakiwa kwa matumizi mabaya ya kompyuta
Uganda imeshuhudia msururu wa mikasa inayolenga kukomesha upinzani, huku waandishi wa habari wakishambuliwa, mawakili kufungwa, waangalizi wa uchaguzi kufunguliwa mashtaka na viongozi wa upinzani kunyamazishwa.