Wanajeshi wa Uganda kuondoka DRC ifikapo Mei 31
Uganda ilijiunga na vikosi vya Congo mnamo Novemba 30 katika vita dhidi ya Allied Democratic Forces (ADF), inayotuhumiwa kwa mauaji mashariki mwa DR Congo na milipuko ya mabomu nchini Uganda.
Uganda ilijiunga na vikosi vya Congo mnamo Novemba 30 katika vita dhidi ya Allied Democratic Forces (ADF), inayotuhumiwa kwa mauaji mashariki mwa DR Congo na milipuko ya mabomu nchini Uganda.
Licha ya kukabiliwa na jeshi la nchi hiyo — na usaidizi kutoka kwa vikosi vya Uganda, vilivyoanza kukabiliana na waasi mwishoni mwa Novemba – mashambulizi ya ADF yameendelea.
Mashambulizi hayo yalifanyika karibu na mpaka wa majimbo ya Ituri na Kivu Kaskazini
Ingawa Kainerugaba amekanusha mara kwa mara madai kwamba ana nia ya kumrithi babake waangalizi wanaashiria kupanda kwake haraka kupitia safu ya jeshi la Uganda kama thibitisho kwamba alikuwa akiandaliwa kwa ajili ya kazi hiyo ya urais..
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilitaka kulipwa fidia ya dola bilioni 11 kutokana na mzozo huo uliodumu kutoka 1998 hadi 2003.
Rais wa Congo Felix Tshisekedi ameidhinisha wanajeshi wa Uganda kuingia DR Congo kusaidia kupambana na kundi la waasi la ADF