Jill Biden amesema Pembe ya Afrika inahitaji misaada zaidi kukabiliana na ukame
Biden alitoa wito wa kuangaziwa zaidi juu ya ukame uliovunja rekodi ambao unatishia watu milioni 22 nchini Kenya, Somalia na Ethiopia na njaa