Kenya: Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) yashutumu kukamatwa kwa wakandarasi
Tume Huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) imelaani kukamatwa kwa maafisa watatu kutoka kwa kampuni inayosambaza mifumo ya kielektroniki ya kupigia kura kwa uchaguzi wa mwezi ujao.