Omanyala apata visa dakika za mwisho ili kushiriki mbio za World Athletics Championships
Omanyala — mwanamume wa tatu mwenye kasi zaidi duniani msimu huu atapumzika kwa saa chache tu kabla kushiriki katika mbio za mita 100 zinazoanza Ijumaa huko Eugene, Oregon.