China yakanusha mipango ya kufungua vituo vya polisi Tanzania
Ubalozi wa China nchini Tanzania ulisema kuwa ni propaganda dhidi ya kukua kwa uhusiano wake kati ya Afrika na China unaoenezwa na vyombo vya habari vya magharibi

China inawekeza zaidi barani Afrika kuliko mataifa mengine ya Ulaya na ni mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa Afrika