Mwandishi wa Uganda aliyeshutumiwa kuitusi familia ya Rais Yoweri Museveni aachiliwa huru
Rukirabashaija alishtakiwa Januari 11 kwa “jumbe za kuudhi” kutokana na msururu wa jumbe zake kwenye Twitter kumhusu Museveni na mwanawe Muhoozi Kainerugaba.