WAKIMBIZI WA AFGHANISTAN WATAFUTA HIFADHI
WAKENYA TUMEKUWA WAKARIMU SANA KUWAPA HIFADHI WAKIMBIZI KUTOKA MATAIFA JIRANI AFRIKA, MATAIFA MENGINE YATUSAIDIE SASAâ MSEMAJI WA SERIKALI COL.CYRUS OGUNA
WAKENYA TUMEKUWA WAKARIMU SANA KUWAPA HIFADHI WAKIMBIZI KUTOKA MATAIFA JIRANI AFRIKA, MATAIFA MENGINE YATUSAIDIE SASAâ MSEMAJI WA SERIKALI COL.CYRUS OGUNA
Serikali imesema inaanza utekelezaji wa kukusanya kodi ya majengo kwa mfumo mpya wa ukusanyaji kupitia ununuzi wa umeme. Zoezi hilo linaanza rasmi kesho Agosti 20,2021 na unafanyika chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania ukihusisha mita zote za umeme.
Chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimekuwa kikiendeleza msukumo wa kupatikana kwa katiba mpya nchini humo. Mwenyekiti wa chama cha…
With the installation of a new President, Samia Suluhu, does Tanzania have a chance of rising from the reigns of dictatorship and intimidation of those opposing the alleged ills of the government?
Aghans have been fleeing for their lives since Monday, with thousands flocking Kabul Airport. The fear of the Taliban is so evident that on Sunday, Afghan President Ashraf Ghani fled the country, abandoning the presidential palace to Taliban fighters saying he did not want to be part of any bloodshed.
Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi za SADC, umeanza leo #Malawi katika mji wa Lilongwe, ambapo unatarajia kumalizika kesho. Mkutano huo umehudhuriwa na wakuu wa nchi mbalimbali wa jumuiya hiyo huku Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassani akiwa ni miongoni mwao.
The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) says it will reject 2022 party nomination lists which will not adhere to the two-thirds gender rule.
Ethiopian Prime Minister Abiy Ahmed has urged all eligible citizens to join the Ethiopian National Defense Force (ENDF) and its allied regional forces and militias to fight against Tigrayan rebels.
TikTok named as the most downloaded app of 2020 TikTok was the world’s most downloaded app in 2020 as it took the top spot from Facebook Messenger, according to digital analytics company App Annie
â President Samia Suluhu may have halted Tanzaniaâs slide away from democracy but she is yet to fully embrace Measures needed to reverse it â