Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekwenda kwenye mstari wa mbele kuongoza vita dhidi ya wapiganaji wa Tigray.
Wanariadha Haile Gebrselassie na Feyisa Lilesa wamesema wako tayari kwenda mstari wa mbele katika vita dhidi ya vikosi vya waasi.
Wanariadha Haile Gebrselassie na Feyisa Lilesa wamesema wako tayari kwenda mstari wa mbele katika vita dhidi ya vikosi vya waasi.
Zaidi ya watu milioni 2.8 kati ya watu milioni saba wa Libya wamejiandikisha kupiga kura.
“15 minute city” ni mji ambapo wakaazi wote wanaweza kufikia sehemu zao kazi na maeneo ya burudani ndani ya robo saa kwa kutembea au kuendesha baiskeli
Wizara ya kilimo ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa ndondi duniani Mike Tyson ikimuomba kuwa balozi wake maalum wa bangi…
Agizo hilo lilitolewa baada ya Ufaransa kuwa nchi ya hivi punde kuwashauri raia wake kuondoka Ethiopia, kufuatia ushauri sawa na wa Amerika na Uingereza