Burkina Faso: Mlipuko wa mgodi wa dhahabu waua watu 55
Mlipuko ulitokea katika hifadhi ya baruti
Mlipuko ulitokea katika hifadhi ya baruti
kurasa za wavuti za serikali zimebadilishwa na kuwekwa picha zinazohusiana na wanajihadi.
Tanzania na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi nchini.
Mfanyabiashara Stanley Livondo, amesisitiza madai ya kuwepo kwa njama ya mauaji dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta.
Shirika la Umeme nchini (Tanesco) limesaini mkataba wa kuuzia umeme Mgodi wa Dhahabu Geita (GGM) ambao utawezesha shirika hilo kupata shilingi bilioni 5 kwa mwezi.