Kenya na Zimbabwe zaondolewa katika mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2023
Michuano ya kufuzu itaanza siku ya kwanza ya Juni 2022
Michuano ya kufuzu itaanza siku ya kwanza ya Juni 2022
Majirani hao wawili wamekuwa na uhusiano wa kikatili tangu mauaji ya kimbari ya 1994.
Tajiri huyo amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuwalawiti wasichana saba katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha
Kwa mujibu wa jarida hilo, Rais Samia amekuwa chachu na ameleta mabadiliko makubwa kwa Tanzania tangu aingie madarakani Machi 2021.
Uchaguzi wa 2018 ulikuwa na makabidhiano ya kwanza ya amani ya mamlaka tangu nchi hiyo ipate uhuru kutoka kwa Ubelgiji mwaka 1960.
Hamad alisema wanachama wa chama hicho wasiache kukikosoa kistaarabu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakapokosea na kwamba huo ndio uungwana.
Kulingana na UN mapigano ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009.