UN: Idadi ya waliofariki kutokana na mapigano katika jimbo la Darfur Sudan yaongezeka hadi 125
Mapigano hayo yalianza kama mzozo wa ardhi kati ya watu wawili, mmoja kutoka Rizeigat na mwingine kutoka Gimir, kabla ya kuongezeka kwa ghasia zilizohusisha watu wengine wa makabila hayo mawili.