Naomi Osaka azindua kampuni ya utangazaji ‘Hana Kuma’ kwa ushirikiano na Lebron James
“Hana Kuma”, jina la kijapani ambayo tafsiri yake “Flower Bear” ni kampuni itakayotoa hadithi maalum za kitamaduni lakini pia za ulimwengu kwa watazamaji wote”
“Hana Kuma”, jina la kijapani ambayo tafsiri yake “Flower Bear” ni kampuni itakayotoa hadithi maalum za kitamaduni lakini pia za ulimwengu kwa watazamaji wote”
Tigrayans have spent several months without access to basic services such as electricity, telecommunications, internet and banking.
Kwa mujibu wa katiba ya Malawi, Chakwera hawezi kumsimamisha au kumwondoa Chilima kwa sababu ni afisa aliyechaguliwa na raia
“Serikali imekuja na mpango wa kulinda eneo la Ngorongoro, imechukua miaka 20 kuandaa na kuratibu mpango huu, ambao unatekelezwa sasa na hakuna uhamishaji wa nguvu unaofanywa kwa wananchi kama inavyodaiwa, wananchi husika wameshirikishwa vya kutosha na ndio maana wamekubali na kuamua kuhama kwa hiari wenyewe,”
Tamasha hilo la Hip Hop asili litafanyika kwa muda wa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 23 hadi 25 mwezi huu.
Anadaiwa kukutwa akimiliki viungo vya binadamu ambavyo ni sehemu za siri za mwanamke tano, mafuvu mawili ya binadamu na chuchu tano za mwanamke.
Akizungumza na waaandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi mkoani humo, Ramadhani Ng’anzi amesema gari hilo mali ya Malema Maswi lilikamatwa Juni 8, 2022 Saa 5: 20 usiku katika maeneo ya Itumbili wilayani Magu mkoani humo muda mfupi baada ya kutelekezwa na dereva ambaye jina lake halijatambulika.
Kasisi aliyefukuzwa kazi na aliyewahi kushika nyadhifa za juu katika Kanisa Katoliki nchini Chile alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la kubaka na kuwadhalilisha watoto kingono
Tukio la mtoto huyo kuuawa ni tukio la tatu ndani ya wiki mbili ambapo watoto wengine wawili mmoja akiwa na miaka miwili aliuawa kwa kukatwa shingo na mwingine wa miaka saba inadaiwa alilawitiwa na kubakwa kisha kukatwa shingo wilayani Nyang’hwale mkoani humo.
Umoja wa Ulaya Jumanne uliahidi kuongeza euro milioni 600 kusaidia mataifa yaliyo hatarini kukabiliana na mzozo wa usalama wa chakula uliozidishwa na vita vya Urusi dhidi ya Ukraine.