Kenya: Hatimaye IEBC imefungua sava ili uhakiki ufanywe
Tume ya IEBC imefungua sava na kupisha zoezi la uhakiki kuanza
Tume ya IEBC imefungua sava na kupisha zoezi la uhakiki kuanza
Mtakwimu Mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Dkt Albina Chuwa hii leo amewaambia wanahabari kwamba hatua hiyo iliyobaki itakwenda kukamilika hadi tarehe 5 2022 September na zoezi hilo litafanyika kwa njia ya simu zilizotolewa zitatumika kuwafikia ambao hawajahesabiwa .
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Ally Kitumbu amethibitisha tukio hilo alipozungumuza na waandishi wa habari na kumtaja mtuhumiwa wa tukio kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba, shule ya msingi Mkombozi iliyopo mjini Geita, Haruna Amin (16).
Waziri wa Afya nchini humo Ummy Mwalimu amesema utoaji wa chanjo hiyo ni kufuatia mlipuko wa ugonjwa huo uliotokea katika nchi jirani ya Malawi mnamo Februari 17, 2022 na kisha nchini Msumbiji mnamo Mwezi Mei 2022.
Jaji mkuu nchini Kenya Martha Koome aorodhesha mambo tisa ambayo mahakama ya juu zaidi itatoa uamuzi kuyahusu katika kesi ya urais.
Wajumbe wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika wawasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais
Baraza la kitaifa la usalama Kenya limepinga kujaribu kuitilafiana na matokeo ya urais.
28 people have been charged by Chinese prosecutors following a brutal assault on a group of women that sparked outrage over gender-based violence in the country
President elect William Ruto described Johnson Sakaja as a ‘miracle candidate’ during his swearing in ceremony, as his gubernatorial journey was marked by a series controversies and challenges.
Silaha alizokutwa nazo ni aina ya AKA 47 (SMG) 11, Uzgun moja, bastola tano, fulana mbili za kujikinga na risasi mbili zilizotengenezwa kwa kutumia plastiki na mbao.