Kuchengo: Kuna dodoso maalumu litakalotumika kwa kaya zisizokuwepo nyumbani
Kupitia dodoso hilo karani utaweza kufuatilia tarifa za kaya kwa ukaribu zaidi
wordpress-seo
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114Kupitia dodoso hilo karani utaweza kufuatilia tarifa za kaya kwa ukaribu zaidi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ali Makame amewaambia wanahabari kuwa, tukio hilo lilitokea Agosti 13, 2022, majira ya saa moja na nusu jioni katika Kijiji na Kata ya Kibaoni, Tarafa ya Mpimbwe, Wilaya ya Mlele
Ukraine inaadhimisha uhuru wake ikiwa katika hali ngumu ya misukosuko ya vita vinavyorudisha nyuma maendeleo ya taifa hilo ambalo sasa watu wake wanaishi kwa hofu juu ya muafaka wa maisha yao
Uchaguzi huo umegubikwa na masaibu mengi ya Angola ikiwemo uchumi unaotatizika, mfumuko wa bei, umaskini na ukame, ukichangiwa na kifo cha rais wa zamani
Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Mlele, Bilal Ahmed, alitoa hukumu hiyo Agosti 22 baada ya kesi namba 90 ya mwaka 2022 kusikilizwa mahakamani hapo na mshtakiwa kukutwa na hatia.
Kwa mujibu wa WHO uchunguzi umeonyesha kuwa kisa hicho kinahusiana na milipuko miwili iliyodumu kwa muda mrefu nchini humo ya majimbo ya Kivu Kaskazini na Ituri.
Akizungumza mjini Karatu, wakati Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, amesema waliamua kuwachinjia jamii ya Wahadzabe, pundamilia wawili na nyumbu wawili, pamoja na kuwapa ndizi mbivu, ili wawepo katika makazi yao kwa ajili ya kuhesabiwa.