• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Month: August 2022

Dereva wa dalala adaiwa kumuua mpenzi wake Dar
Africa East Africa

Dereva wa dalala adaiwa kumuua mpenzi wake Dar

Asia GambaAugust 17, 2022August 17, 2022

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Agosti 16, 2022 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Jumanne Muliro imeeleza kuwa tukio hilo limetokea Agosti 16, maeneo ya Kimara Suka.

Kesi ya mauaji ya askari polisi yakwama kuendelea ikisubiri upelelezi
Africa East Africa

Kesi ya mauaji ya askari polisi yakwama kuendelea ikisubiri upelelezi

Asia GambaAugust 17, 2022August 17, 2022

Katika kesi hiyo ya mauaji namba 11/2022, washtakiwa 10 kati ya 24 ni madiwani, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Laizer na wakazi wengine.

Mfumo wa ununuzi wa Luku kuzimwa kwa siku nne nchini Tanzania
Africa East Africa

Mfumo wa ununuzi wa Luku kuzimwa kwa siku nne nchini Tanzania

Asia GambaAugust 17, 2022August 17, 2022

Shirika la Umeme Tanzania limesema Wananchi nchini humo hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa muda wa siku nne, Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku.

Kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuelekea mahakamani
East Africa Politics

Kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuelekea mahakamani

Victor WanaswaAugust 17, 2022August 17, 2022

Sasa ni wazi kuwa mgombea wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga atarejea katika mahakama ya upeo mwaka huu baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kumtangaza William Ruto kama mshindi wa uchaguzi mkuu wa agosti mwaka 2022.

Watu nane wafariki kwenye ajali iliyohusisha Lori na magari mengine mawili
Africa East Africa

Watu nane wafariki kwenye ajali iliyohusisha Lori na magari mengine mawili

Asia GambaAugust 16, 2022August 16, 2022

Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani humo, Urlich Matei amethibitisha kutokea tukio hilo akisema gari kubwa lililokuwa limebeba kontena la mchanga lilifeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Njombe.

Historia ya Kenya ya uchaguzi wenye utata
Africa East Africa

Historia ya Kenya ya uchaguzi wenye utata

Asia GambaAugust 16, 2022August 16, 2022

Katika miaka 30 ya utawala wa vyama vingi vya siasa, uchaguzi katika mamlaka ya Afrika Mashariki mara nyingi umekuwa na matokeo yenye utata na kusababisha ghasia mbaya, huku wapinzani wakishutumiana kwa udanganyifu na wizi wa kura.

Rais Museveni ampongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto
Africa East Africa

Rais Museveni ampongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto

Asia GambaAugust 16, 2022August 16, 2022

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempongeza rais mteule wa Kenya, William Ruto, kwa ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti.

Majaliwa: Sensa ni muhimu kwa wafanyabiashara kutathimini uwezo wao wa kibiashara
Africa East Africa

Majaliwa: Sensa ni muhimu kwa wafanyabiashara kutathimini uwezo wao wa kibiashara

Asia GambaAugust 16, 2022August 16, 2022

Ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Agosti 15, 2022, wakati akizungumza na wadau wa sekta binafsi juu ya umuhimu wa ushiriki wao kwenye Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika nchini Agosti 23, 2022 kwenye kikao kilichofanyika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. 

William Ruto declared 5th President of Kenya
East Africa

William Ruto declared 5th President of Kenya

Joy CheptooAugust 15, 2022August 15, 2022

The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) chairman Wafula Chebukati on Monday 15th August declared William Ruto as the 5th President of Kenya.

William Ruto Rais mteule wa Kenya
Africa East Africa

William Ruto Rais mteule wa Kenya

Asia GambaAugust 15, 2022August 15, 2022

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati alisema Ruto amepata takriban kura milioni 7.18 (asilimia 50.49) katika kura ya Agosti 9, dhidi ya milioni 6.94 (asilimia 48.85) za mpinzani wake Raila Odinga.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo