Kenya: Idadi ya wanawake magavana yaongezeka maradufu
Idadi ya wanwake waliochaguliwa magavana nchini Kenya imeongezeka maradufu kutoka watatu mwaka wa 2017 hadi saba mwaka huu wa 2022
Idadi ya wanwake waliochaguliwa magavana nchini Kenya imeongezeka maradufu kutoka watatu mwaka wa 2017 hadi saba mwaka huu wa 2022
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Ijumaa, Agosti 12, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslim, amesema mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo jana usiku.
Kenyan World and Olympic 1500m champion Faith Kipyegon arguably produced the stand-out performance of an amazing night of track and field in…
Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Katibu Mkuu Stéphane Dujarric kutoka New York nchini Marekani imesema, Katibu Mkuu anatambua kazi muhimu iliyofanywa na mamlaka ya Kenya pamoja na mashirika mengi yote yanayohusika na usimamizi wa uchaguzi, ushirikishwaji wa wadau mbalimbali wa kitaifa na dhamira ya dhati isiyoyumbishwa ya wapiga kura kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura.
Budeba alihukumiwa kifungo hicho katika mahakama hiyo baada ya kusikilizwa ushahidi ukiwamo wa mtoto, mama mzazi, majirani na daktari aliyempima mtoto huyo.
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imeiamuru Kampuni ya udalali ya Dexter Insurance kumlipa dereva wa Kampuni ya New Force, Waubani Linyama maarufu kwa jina la ‘Ndugu abiria’, fidia ya shilingi 150 milioni kwa kosa la kutumia picha yake kibiashara bila idhini yake.
Rajapaksa alikimbilia Maldives mnamo Julai 13 na kisha Singapore, ambapo alitangaza kujiuzulu baada ya miezi kadhaa ya maandamano juu ya kuzorota kwa uchumi wa nchi hiyo.
Akizungumzaia ujenzi wa soko hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema ujenzi wa soko hilo umegharimu 10.2 bilioni.
Wakenya, ambao baadhi yao walijipanga kabla ya alfajiri kupiga kura hapo jana, walipiga kura katika chaguzi sita na kumchagua rais mpya pamoja na maseneta, magavana, wabunge, wawakilishi wanawake na baadhi ya maafisa 1,500 wa kaunti.