Wamachinga wa soko la Kariakoo kutozwa kodi na TRA
Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi wa TRA, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye mfumo wa malipo ya kodi wa makadirio.