Mwanariadha Mark Otieno apigwa marufuku ya miaka 2 kwa kutumia dawa za kusisimua misuli
Otieno alipatikana na dawa iliyopigwa marufuku ya anabolic steroid methasterone na alisimamishwa kushiriki Olimpiki ya Tokyo mnamo 2021 muda mfupi kabla ya kushiriki katika mbio za mita 100