Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris kuzuru Afrika baadaye mwezi huu
Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.
Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.
Serikali ya Tanzania inatarajia kukusanya na kutumia shilingi trilioni 44.38 kwa mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.0 ya bajeti ya mwaka 2022/2023.
Lady Gaga took the stage to perform an emotional and raw rendition of her Oscar-nominated song “Hold My Hand” during the Academy Awards on Sunday night.
Costa Titch alitamba sana na “Big Flexa,” ambayo imetazamwa zaidi ya milioni 45 kwenye YouTube
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Zanzibar, Khamis Mbeto amesema hawatakubali kuona wanasiasa wanatumia majukwaa kueleza uongo na kupotosha umma kwa makusudi ili Serikali ichukiwe.
Martha ambaye alikuwa Mhasibu wa Bank of Africa (BOA) tawi la Kahama kabla ya kuachishwa kazi mwezi mmoja uliopita aliuawa kwa kuchomwa moto na watu wasiojulikana baada ya kwenda kwao Kibaha kwa ajili ya kuwasalimia wazazi wake.