March 24, 2023
-

Mandonga Na ‘MlungaMbunga’ Yuko Nairobi Kwa Pigano Dhidi Ya Lukyamuzi
Pigano linalosubiriwa kwa hamu na gamu dhidi ya mandonga nan a mganda Kenneth Lukyamuzi litapeperushwa moja kwa moja kuanzia saa moja usiku kutoka ukumbi wa Kasarani Gymnasium.
-

Rais wa DR Congo amteua kiongozi wa zamani wa wanamgambo kuwa mkuu wa ulinzi
Bemba alikuwa amefungwa na ICC kwa uhalifu uliofanywa na waasi chini ya amri yake, lakini mahakama hiyo ilibatilisha hukumu yake mwaka 2018
-

Nairobi imeorodheshwa juu zaidi katika mauaji ya polisi mwaka wa 2022 – ripoti imefichua
Nairobi ilirekodi visa 53 vya mauaji ya polisi huku nyingi zikiwa ni matokeo ya oparesheni za kupinga uhalifu
-

Michezo Afrika yakumbwa na madai ya unyanyasaji wa kijinsia nchini DR Congo na Cameroon
Kocha wa zamani wa kandanda nchini DR Congo amesimamishwa kazi kwa muda wa miezi mitano baada ya uchunguzi wa awali wa kamati ya maadili ya Fifa kuhusu tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto…
-

Rwanda yaonya kuhusu ‘mauaji ya kimbari’ mashariki mwa DRC
Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda Vincent Biruta amesema kwamba nchi yake inahofu kuhusu uwezekano wauliopo wa “mauaji ya kimbari’’ dhidi ya raia wanazungumza Kinyarwanda mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo. Akihutubia Kikao…
-

Taifa Stars kuikabili The Cranes ya Uganda leo
Timu ya Taifa nchini Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani leo nchini Misri kuikabili The Cranes (Uganda) katika mchezo wa tatu wa Kundi F wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Africa (AFCON) mwaka 2023…
-

Watu 193 waliochangamana na wenye vurusi vya Murburg wawekwa karantini nchini Tanzania.
Mganga Mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Dk Tumaini Nagu amesema wagonjwa watatu waliogundulika kuwa na virusi vya Marburg wanaendelea na matibabu na hali zao zinaendelea kuimarika na hakuna maambukizi ya watu wengine tangu kuliporipotiwa kuzuka…







