Wakenya lazima watii sheria! Rais Ruto asema baada ya maandamano
Rais William Ruto amesema hali ya kutoadhibiwa haitavumiliwa na Wakenya wote lazima watii sheria
Rais William Ruto amesema hali ya kutoadhibiwa haitavumiliwa na Wakenya wote lazima watii sheria
Faki anaonyesha wasiwasi mkubwa juu ya ghasia, ambazo zimesababisha watu kupoteza maisha, uharibifu wa mali na kukatizwa kwa shughuli fulani za kiuchumi
Filamu ya Avatar 2 inashika nafasi ya nne kimataifa kwa filamu zilizopata mapato ya juu zaidi katika historia baada ya “Avatar1” (dola bilioni 2.92), “Avengers: Endgame” ($2.7 bilioni) na “Titanic” ($2.19 bilioni)