Inspekta Jenerali wa Kenya amepiga marufuku maandamano mapya ya upinzani Jumatatu
Zaidi ya watu 200 walikamatwa Jumatatu iliyopita, wakiwemo wanasiasa kadhaa wakuu wa upinzani, huku msafara wa Odinga mwenyewe ukipigwa na mabomu ya machozi na maji ya kuwasha