Kenya court orders suspension of mass layoff of Facebook moderators
A total of 184 moderators employed in Nairobi by Sama, an outsourcing firm for Meta, filed a lawsuit in March, claiming their dismissal was “unlawful”.
A total of 184 moderators employed in Nairobi by Sama, an outsourcing firm for Meta, filed a lawsuit in March, claiming their dismissal was “unlawful”.
Katika kilele cha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Marburg nchini Tanzania serikali ya nchi hiyo kupitia mganga mkuu wa serikali imesema mpaka kufikia mei 31 imekuwa na jumla ya wagonjwa 9 tu.
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu ametoa taarifa hiyo leo ambapo amesema walitembelea mikoa ya Dodoma, Singida na Kilimanjaro na kwamba matokeo yanaonyesha kuwa kifo cha Nusura kilisababishwa na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu.
The 42nd Meeting of the Sectoral Council of Ministers on Trade, Industry, Finance and Investment (SCTIFI) is currently underway at the…
A court sentenced firebrand opposition leader Ousmane Sonko to two years’ jail for “corrupting youth
Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuipokea ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 737 – 300F itakayowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) siku ya Jumamosi Juni 3, 2023.
Taarifa iliyotolewa na serikali ya Zanzibar, kupitia kwa msemaji wake, Charles Hilary, imeeleza kuwa shamba hilo ni mali ya serikali na haitambui mtu yoyote aliyemilikishwa; au kujimilikisha eneo hilo.
Jumuiya ya nchi saba za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ilianza kutumwa mwezi Novemba mwaka jana ambapo wanajeshi wa Kenya waliwasili katika eneo hilo lenye hali tete, na kufuatiwa mwaka huu na vikosi vya Burundi, Uganda na Sudan Kusin
Akizungumza leo bungeni Jijini Dodoma Majaliwa amesema ni wakati wa Watanzania wote kuungana ili kuandika historia kwa pamoja na hana shaka na uwezo wa Yanga, na anaamini timu hiyo itaipeperusha vyema bendera ya Tanzania