Ondoa Mswada wa Fedha na uwaombe Wakenya msamaha – Raila amwambia Ruto
Raila alisema Rais anafaa kuondoa Mswada wa Fedha wa 2023 kwa sababu Wakenya watateseka iwapo utapitishwa. Tayari Mswada huo upo Bungeni ukisubiri uamuzi wa Wabunge
Raila alisema Rais anafaa kuondoa Mswada wa Fedha wa 2023 kwa sababu Wakenya watateseka iwapo utapitishwa. Tayari Mswada huo upo Bungeni ukisubiri uamuzi wa Wabunge
Donald Trump Jr ambaye ni mtoto mkubwa wa kiume wa Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump, yupo nchini Tanzania kutembelea maeneo mbalimbali huku kueleza kuvutiwa na vivutio vya utalii vilivyopo nchini.
Huku njaa ikionekana kuwa chanzo kikuu cha vifo, baadhi ya wahasiriwa wakiwemo watoto walinyongwa, kupigwa au kuzimwa, kulingana na uchunguzi wa miili iliyofanywa na serikali
Alipokamatwa mwaka wa 2020 karibu na Paris baada ya kukimbia kwa miaka 25, Félicien Kabuga anadaiwa kushiriki katika uundaji wa wanamgambo wa Kihutu
The Rwanda Defence Force said in a statement that two senior commanders had been sacked, along with 14 officers, and more than 200 people in other ranks.
Ripoti hiyo ya toleo la mwaka 2022 “Ufuatiliaji wa SDG 7: Ripoti ya Maendeleo ya Nishati” inaonyesha kuwa athari za janga hili, ikiwa ni pamoja na mashariti ya kufungwa kila kitu, kuathirika kwa minyororo ya usambazaji wa kimataifa, na upotoshaji wa rasilimali za kifedha ili kuweka bei za chakula na mafuta kuwa nafuu, vimeathiri kasi ya maendeleo kuelekea lengo la Maendeleo Endelevu SDG 7 la kuhakikisha upatikanaji wa nishati nafuu, ya kutegemewa, endelevu na ya kisasa ifikapo mwaka 2030.
The port of Dar es Salaam is the main commercial gateway of Tanzania. Approximately 95 percent of Tanzania’s international trade is served by this port.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewakamata watuhumiwa watano wa unyang’anyi kwa kutumia silaha ambao kati yao wawili wametambuliwa kuhusika katika tukio la ubakaji alilofanyiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (jina linahifadhiwa) wakati wakifanya uharifu chuoni hapo.
Ripoti ya shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International imeituhumu mamlaka nchini Tanzania kwa kutumia nguvu kupita kiasi pamoja na kuwazuilia jamii ya wamaasai wakati wakiwatimua katika eneo la Loliondo.
Naibu Waziri wa Afya nchini Tanzania Dkt. Godwin Mollel amesema , asilimia 70 ya Mapato ya vituo vya huduma za Afya vya Serikali pamoja na binafsi vinategemea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili kuendesha vituo hivyo.