Pangapangua ya Rais Samia, wapo walioondolewa wengine tumbo joto.
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu leo Agosti 30, 2023 imebainisha kuwa Rais Samia amefuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na badala yake ameunda wizara mpya mbili ambazo ni Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Uchukuzi.