Africa East Africa

Bei ya mafuta yazidi kupanda bei huku gharama za maisha zikiongezeka Tanzania

Kwa bei zilizotangazwa kuanza kutumika leo, gharama ya lita moja kwa mafuta yaliyopakuliwa Dar es Salaam ni shilingi  3,281/lita ya petroli, shilingi 3,448/lita ya Dizeli na shilingi 2,943/lita ya mafuta ya taa. Kwa mafuta yaliyopakuliwa Tanga, bei ya lita ya petroli ni shilingi  3,327/lita, bei ya dizeli ni shilingi  3,494/lita na mafuta ya taa ni shilingi 2,989 kwa lita.