Chadema yalimwa barua na Msajili wa Vyama vya Siasa, awataka wajieleze kuhusu kuchapisha maudhui yanayomdhalilisha mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu
Chama cha Demokrasia na Mendeleo CHADEMA, kimesema kimepokea barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania ikiwataka wajieleze kuhusu kutengeneza maudhui yanayotajwa kuwa yanamdhalilisha Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ni Rais Samia Suluhu Hassani.