Tanzania yatajwa kuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa Chakula
Tanzania imetajwa kuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopelekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini.