Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali pingamizi la mradi wa bomba la mafuta
Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la kutaka kusimamisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi lenye thamani ya $4bn (£3.1bn) kutoka Uganda hadi nchini Tanzania.