Mashirika zaidi ya 50 yamuomba Rais Samia kuamuru kupiga marufuku uwindaji wa Tembo katika eneo la Enduimet linalopakana na Kenya
Mashirika hayo yanaonya kuwa uwindaji wa tembo unaoendelea katika eneo la Enduimet nchini Tanzania unaweza kuwa hatarini kutokomeza rasilimali ya pamoja.