Business / Finance East Africa Tanzania

Kampuni ya Adani kuwekeza katika mradi wa nyaya za Umeme Tanzania

Nchini Kenya, Adani iko katika mazungumzo na kampuni ya kusambaza umeme nchini humo kwa makubaliano ya kujenga nyaya za umeme zenye thamani ya dola milioni 736. Pendekezo la kundi hilo la kuendesha uwanja wa ndege wa kitaifa wa jomo kenyata wa taifa hilo katika mji mkuu wa Nairobi, limezua pingamizi kali kutoka kwa umma na  kufunguliwa mashtaka mahakamani