Wafuasi 23 wa Chadema washtakiwa kwa madai ya kula njama ya Ugaidi
Washtakiwa 23 ambao ni viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrsia na Maendeleo Chadema Jijini Mwanza wamepandishwa kizimbani katika Mahakama Kuu ya Mwanza kwa kosa la kupanga kufanya vitendo vya kigaidi.