Jamhuri, Lissu Ngoma Nzito Kesi Yaahirishwa
Jamhuri imeonekana kulenga kutengeneza picha kwamba baadhi ya kauli na hoja zilizotolewa na Lissu katika utetezi wake zinapingana na ushahidi wa mashahidi wa upande wa mashtaka, huku Lissu akijibu kwa kusisitiza tafsiri yake ya matukio, sheria na ushahidi uliowasilishwa mahakamani.