Asia Gamba
-

The Chanzo yaondoa maudhui ya Askofu Gwajima kufuatia wito wa TCRA
Katika video hiyo, Askofu Gwajima, ambaye pia ni kiongozi wa dini, alizungumza na wanahabari tarehe 24 Mei, 2025, akitoa maoni kuhusu mfululizo wa matukio ya utekaji yanayodaiwa kutokea nchini Tanzania. Maudhui hayo yalichapishwa kwenye chaneli…
-

Uganda yasitisha ushirikiano wa Kijeshi na Ujerumani kwa tuhuma za Uhaini
Jeshi la Uganda (UPDF) limetangaza kusitisha mara moja ushirikiano wa kijeshi na Ujerumani, likimtuhumu Balozi wa Ujerumani nchini humo, Matthias Schauer, kwa kuendesha “shughuli za kihaini” ndani ya taifa hilo la Afrika Mashariki.
-

Chama tawala cha DRC kimemtaka Kabila aache kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo
Katika hotuba yake jana Jumapili, Katibu Mkuu wa chama cha Union for Democracy and Social Progress (UDPS), Augustin Kabuya, alimtuhumu Kabila kwa kuhusika na kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda na kudai…
-

Serikali ya Marekani yapunguza tena ufadhili kwa Harvard licha ya kauli ya maridhiano ya Rais wa Chuo
Serikali ya Marekani imetangaza upunguzaji mpya wa ufadhili kwa Chuo Kikuu cha Harvard siku ya Jumanne, siku moja tu baada ya Rais wa chuo hicho, Alan Garber, kusema kuwa taasisi hiyo ina “mambo ya msingi…
-

Kiongozi wa Upinzani Tanzania akamatwa Uwanja wa Ndege
Tukio hilo ni miongoni mwa matukio kadhaa ya hivi karibuni yanayowalenga wanachama wa CHADEMA, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba.
-

Majimbo mapya ya Uchaguzi yaliyotangazwa na INEC
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanzishwa kwa majimbo mapya nane ya uchaguzi pamoja na kubadilishwa kwa majina ya majimbo mengine 12, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
-

Martha Karua: Kenya iko katika hali ya siasa na uchumi isiyovumilika
Mwanasiasa mkongwe Martha Karua ametangaza nia yake ya kugombea urais wa Kenya katika uchaguzi wa mwaka 2027, akisema kuwa nchi hiyo iko “katika hali ya vurugu kamili” kutokana na ufisadi, mauaji yanayotekelezwa na polisi, na…









