• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Author: Asia Gamba

Nyani apora mtoto mchanga wakati akinyonyeshwa na mama yake
Africa East Africa

Nyani apora mtoto mchanga wakati akinyonyeshwa na mama yake

Asia GambaJune 20, 2022June 20, 2022

Kundi la nyani waliopo katika hifadhi ya Gombe iliyopo kijiji cha Mwamgongo mkoani Kigoma, limevamia nyumba ya Shayima Faya (20) na kumpokonya mtoto mchanga wakati akimnyonyesha na kutokomea naye porini ambapo baadaye mtoto huyo alifariki dunia.

Maumivu yaja kwa watumiaji wa daraja la Tanzanite
Africa East Africa

Maumivu yaja kwa watumiaji wa daraja la Tanzanite

Asia GambaJune 17, 2022June 17, 2022

Serikali imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha – Mlandizi – Chalinze – Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa – Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. 

Bashungwa: Shule ziwashirikishe wazazi kupanga michango ya shule kabla ya kuanza kutoza
Africa East Africa

Bashungwa: Shule ziwashirikishe wazazi kupanga michango ya shule kabla ya kuanza kutoza

Asia GambaJune 16, 2022June 16, 2022

Bashungwa amewaagiza wakuu wa shule na walimu wakuu wa shule kuwashirikisha wazazi, bodi za shule, kamati za shule na walezi kwa kuzingatia taratibu zilizopo.

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kinachoendelea Loliondo wilayani Ngorongoro nchini Tanzania.
Africa East Africa

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu kinachoendelea Loliondo wilayani Ngorongoro nchini Tanzania.

Asia GambaJune 16, 2022June 16, 2022

“Tunasikitishwa sana na taarifa za matumizi ya risasi za moto na mabomu ya machozi yaliyofanywa na vikosi vya usalama vya Tanzania tarehe 10 Juni 2022, na kusababisha takriban watu 30 kupata majeraha madogo hadi mabaya kutokana na risasi za moto na kifo cha afisa wa polisi,”

Walioshiriki zoezi la Ushirikiano Uganda warejea
Africa East Africa

Walioshiriki zoezi la Ushirikiano Uganda warejea

Asia GambaJune 15, 2022June 15, 2022

Ni zoezi la kijeshi lililofanyika siku 14 kuanzia Mei 28, ambalo huandaliwa na nchi wanachama wa Jumuia ya Afrika Mashariki, likihusisha washiriki  kutoka majeshi na vitengo mbalimbali vya nchi wanachama kwa nia ya kukabiliana na changamoto za kiusalama.

Ukuaji wa Uchumi nchini Tanzania waongezeka
Africa East Africa

Ukuaji wa Uchumi nchini Tanzania waongezeka

Asia GambaJune 14, 2022June 14, 2022

Hayo yamesemwa leo bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango nchini humo Dk. Mwigulu Nchemba, wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi wa taifa kwa mwaka 2021 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2022.

Tukio la mauaji ya Padri mkoani Mbeya lazua hofu kwa wananchi
Africa East Africa

Tukio la mauaji ya Padri mkoani Mbeya lazua hofu kwa wananchi

Asia GambaJune 14, 2022June 14, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema tukio la mauaji ya kutisha ya Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya, Michael Samson (63) raia wa Malawi, limezua hofu miongoni mwa wananchi wa mkoa huo.

Macho na masiko ya wananchi hii leo ni katika mhimili wa bunge ambapo Bajeti Kuu ya Serikali itasomwa 
Africa East Africa

Macho na masiko ya wananchi hii leo ni katika mhimili wa bunge ambapo Bajeti Kuu ya Serikali itasomwa 

Asia GambaJune 14, 2022June 14, 2022

Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 inawasilishwa siku moja na bajeti za serikali za baadhi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Rais Samia:Sekta binafsi ifanye biashara serikali itabaki kama msimamizi
Africa East Africa

Rais Samia:Sekta binafsi ifanye biashara serikali itabaki kama msimamizi

Asia GambaJune 13, 2022June 13, 2022

Mkuu huyo wa nchi yupo ziarani nchini Oman kwa mwaliko wa Mfalme, Haitham Bin Tariq kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kibiashara baina ya nchi hizo mbili zenye historia ya muda mrefu.

Tanzania kuwakopesha wavuvi boti za kuvulia samaki
Africa East Africa

Tanzania kuwakopesha wavuvi boti za kuvulia samaki

Asia GambaJune 13, 2022June 13, 2022

Wizara ya Mifugo na Uvuvi nchini Tanzania imesema mwaka wa fedha 2022/2023, serikali ya nchi hiyo ina mpango wa kununua boti 320 za uvuvi kwa ajili ya kukopesha wavuvi wadogo na wa kati ili waboreshe kazi zao.

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy