Asia Gamba
-

Rais Museveni ampongeza Rais mteule wa Kenya, William Ruto
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amempongeza rais mteule wa Kenya, William Ruto, kwa ushindi wake katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti.
-

Majaliwa: Sensa ni muhimu kwa wafanyabiashara kutathimini uwezo wao wa kibiashara
Ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Agosti 15, 2022, wakati akizungumza na wadau wa sekta binafsi juu ya umuhimu wa ushiriki wao kwenye Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika nchini Agosti 23, 2022 kwenye kikao kilichofanyika…
-

William Ruto Rais mteule wa Kenya
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati alisema Ruto amepata takriban kura milioni 7.18 (asilimia 50.49) katika kura ya Agosti 9, dhidi ya milioni 6.94 (asilimia 48.85) za mpinzani wake Raila…
-

Kenya: Ni William Ruto!
Mteule huyu anatarajiwa kuapishwa baada ya siku 14 ambapo atapokea kijiti cha uongozi wakati ambapo nchi ina hali mbaya ya kiuchumi
-

Rais Samia: Hatutakiwi kuwa na maofisa wa vitambi
Rais Samia ametoa agizo hilo leo Agosti 15, 2022 katika wilaya ya Mkinga mkoani Tanga wakati akizindua chuo cha mafunzo cha Jeshi la Uhamiaji cha Boma Kichakamiba ambacho kilianzishwa mwaka 2020.
-

Mfalme Zumaridi aibua hoja ya ugonjwa Mahakamani
Kesi hiyo inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza mbele ya Hakimu, Clescensia Mushi imeitwa leo Jumatatu Agosti 15, 2022 kwa ajili ya kuendelea na usikilizaji wa mashahidi watatu wa upande wa jamhuri.
-

Tanzania: Amuua mkewe na mtoto wake wa miaka miwili.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Ijumaa, Agosti 12, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslim, amesema mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo jana usiku.
-

Polisi wamshikilia mtuhumiwa aliyepanga njama za mauaji mkoani Katavi
Jeshi la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
-

UN yaipongeza Kenya kwa kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani
Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Katibu Mkuu Stéphane Dujarric kutoka New York nchini Marekani imesema, Katibu Mkuu anatambua kazi muhimu iliyofanywa na mamlaka ya Kenya pamoja na mashirika mengi yote yanayohusika na usimamizi wa uchaguzi,…
-

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumnajisi mtoto wake wa kambo
Budeba alihukumiwa kifungo hicho katika mahakama hiyo baada ya kusikilizwa ushahidi ukiwamo wa mtoto, mama mzazi, majirani na daktari aliyempima mtoto huyo.







