Wabunge wa Uganda wamepitisha rasimu mpya ya mswada mkali dhidi ya wapenzi wa jinsia moja
Uganda haijatumia adhabu ya kifo kwa miaka mingi
Uganda haijatumia adhabu ya kifo kwa miaka mingi
Kwa mujibu wa polisi, Waziri huyo aliuawa kwa kupigwa risasi mwendo wa saa nane asubuhi siku ya Jumanne alipokuwa akiingia kwenye gari lake kwenda kazini
Maswali yameibuka kuhusu jinsi mchungaji huyo mwenye historia ya itikadi kali ameweza kukwepa utekelezaji wa sheria licha ya wasifu wake maarufu
Wachunguzi pia watachukua sampuli za DNA kusaidia utambuzi, ingawa matokeo kamili yanaweza kuchukua miezi
Jenerali wa Kenya Jeff Nyagah alisema anaondoka kwenye ujumbe huo “kutokana na tishio kubwa kwa usalama wangu.”
Kwa wafuasi wake, Ezekiel Ombok Odero ni kiongozi wa kiroho mwenye kipawa ambaye anaweza kutibu VVU kwa “maji matakatifu.”
Serikali ya Kenya mwezi Disemba iliidhinisha pendekezo la baraza la mawaziri kuunga mkono ombi la mashindano hayo yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, pamoja na majirani zake wawili
Ezekiel Odero, mkuu wa New Life Prayer Center and Church, “amekamatwa na atakabiliwa na mashtaka ya uhalifu yanayohusiana na mauaji ya halaiki ya wafuasi wake
Kura za maoni zinaonyesha idadi kubwa ya Wamarekani hawana shauku kuhusu Biden kugombea tena na umri ni moja wapo ya maswala kuu
Kufuatia ugunduzi wa kutisha nchini Kenya wa miili ya zaidi ya 80 huko Shakahola, Kaunti ya Kilifi ya wanaoshukiwa kuwa washiriki wa ibada wanaoaminika kujiua kwa njaa, tunaangalia madhehebu mengine mashuhuri ya wauaji