Je, unajua jinsi adhabu ya kifo inavyotekelezwa?
Jumla ya nchi 108 zilikuwa zimekomesha rasmi hukumu ya kifo kwa uhalifu wote kufikia mwisho wa 2021, kulingana na Amnesty, kutoka nchi 16 mwaka 1977
Jumla ya nchi 108 zilikuwa zimekomesha rasmi hukumu ya kifo kwa uhalifu wote kufikia mwisho wa 2021, kulingana na Amnesty, kutoka nchi 16 mwaka 1977
Mwanademokrasia huyo mkongwe atakuwa na umri wa miaka 86 ifikapo mwisho wa muhula wa pili
“Ninajichukia mwenyewe. Sijipendi ndio maana niliuawa mtoto wangu. Nimepitia magumu na huyu mtoto,” mwanamke huyo alisema
Kiongozi huyo wa madhehebu alikamatwa Aprili 14 kufuatia taarifa iliyodokeza kuwepo kwa makaburi mafupi yenye miili ya baadhi ya wafuasi wake
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyoambukizwa kwa binadamu kwa kuumwa na mbu
Polisi wa Kenya walisema Ijumaa kwamba wamefukua miili mitatu, ambayo inakisiwa kuwa wafuasi wa dhehebu la kidini ambao waliaminika kujiua kwa njaa, huku wakiongeza uchunguzi
Marriott alisema kuwa ataikumbuka Kenya baada ya kuhudumu kwa miaka minne, na akadokeza kuchukua jukumu lingine Julai
Bunge mwezi uliopita liliidhinisha Mswada wa Kupinga Ushoga wa 2023, unaotaka adhabu kali kwa yeyote anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Utafiti huo ulifanyika kati ya Machi 11 hadi Machi 19, 2023
Uchunguzi wa ufisadi dhidi ya mawaziri ni nadra nchini Uganda