Museveni aahidi kusaidia ufugaji wa samaki
Rais alisema sekta ndogo ya uvuvi inachangia asilimia nne kwenye Pato la Taifa (GDP) na ni ya pili kwa mauzo ya nje ya Uganda baada ya kahawa
Rais alisema sekta ndogo ya uvuvi inachangia asilimia nne kwenye Pato la Taifa (GDP) na ni ya pili kwa mauzo ya nje ya Uganda baada ya kahawa
Mlima wa volcano wa Hawaii wa Mauna Loa, ambao ni mlima mkubwa zaidi wa volkano duniani, umelipuka kwa mara ya kwanza katika takriban miaka 40
FIFA imeondoa marufuku kwa shirikisho la soka la Kenya, kufuatia uamuzi wa serikali kurejesha chombo hicho baada ya kulivunja kwa madai ya rushwa
Tangazo hilo linakuja wakati waasi wa M23 wakisonga mbele katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo yenye machafuko ya Afrika
Lugha ni suala la hisia nchini India ambapo mamia ya lugha na lahaja huzungumzwa, lakini Kiingereza hutumika kama chombo kikuu rasmi
Kiongozi wa upinzani wa Malaysia Anwar Ibrahim aliteuliwa kuwa waziri mkuu siku ya Alhamisi, na kumaliza mzozo wa kisiasa uliodumu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi ambao haukukamilika
Polisi mjini Kampala wamemkamata mhadhiri wa chuo kikuu cha Makerere Bernard Wandera kwa tuhuma za kumpiga mwanafunzi kofi
A wife and mother of three, Wanjeri fearlessly chose to walk this path as a human rights defender, describing it as a calling fueled only by passion
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema anatarajia kipimo cha kwanza cha chanjo ya Ebola inayolenga aina ya mlipuko wa sasa nchini Uganda kuwasili nchini wiki ijayo
Rais Museveni amewateua Majaji Christopher Madrama Izama, Stephen Musota na Elizabeth Musoke katika Mahakama ya Juu