Rais Museveni amewateua majaji watatu wapya katika Mahakama ya Juu
Rais Museveni amewateua Majaji Christopher Madrama Izama, Stephen Musota na Elizabeth Musoke katika Mahakama ya Juu
Rais Museveni amewateua Majaji Christopher Madrama Izama, Stephen Musota na Elizabeth Musoke katika Mahakama ya Juu
Alisema Kenya ina mpango wa kuzalisha MW 10,000 kutoka kwa rasilimali ya jotoardhi, na MW 20,000 kutoka kwa jua na upepo
Hii ilifuatia visa ambapo madereva wa lori walibeba watu kutoka wilaya hizo mbili kutoroka kutoka maeneo yaliyozuiliwa
Kyiv imewataka viongozi barani Afrika kuwazuia raia wao wasijihusishe na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, siku moja baada ya Zambia kusema kuwa mmoja wao aliuawa
Mfanyabiashara wa Marekani na mwanzilishi wa Kampuni ya Microsoft Bill Gates yuko nchini Kenya, ambako atafanya mfululizo wa mazungumzo ya umma
Ufukuaji wa maiti ni nadra nchini Uganda na mara nyingi umekuwa ukihusishwa na shughuli za kitamaduni katika baadhi ya maeneo ya mbali nchini humo
Wilaya ya Mubende, iliyosajili kesi ya kwanza, imepoteza watu 29 kati ya vifo 54 vilivyosajiliwa
Mbunge wa jimbo la Pennsylvania, Tony DeLuca, ambaye alifariki kutokana na saratani mwezi uliopita alichaguliwa tena kwa kura nyingi
Kocha wa zamani wa Luton anachukua nafasi ya Ralph Hasenhuttl
Afrika Kusini imeondoa masharti ya visa kwa Wakenya wanaosafiri kwenda taifa hilo la kusini mwa Afrika kuanzia Januari 2023 kwa muda wa siku 90 kila mwaka