Timu Ya Raga Ya Kenya Yatwaa Ubingwa Wa Afrika Na kufuzu Kwa Michezo Ya Olimpiki 2024
Timu ya raga ya Kenya, Shujaa wamefuzu kwa Michezo yao ya Olimpiki baada ya kuishinda Afrika Kusini 17-12 katika fainali ya Kombe la Africa Rugby 7s
Timu ya raga ya Kenya, Shujaa wamefuzu kwa Michezo yao ya Olimpiki baada ya kuishinda Afrika Kusini 17-12 katika fainali ya Kombe la Africa Rugby 7s
Bei hizo mpya za mafuta zitatekelezwa kuanzia Septemba 15, usiku wa manane hadi Oktoba 14, 2023.
Shirika la Hilali Nyekundu (Red Crescent) la Libya limesema watu waliokufa imeongezeka na kufikia11,300.
Mafuriko makubwa Jijini Derna, Nchini Libya yameangamiza maisha ya wachezaji soka kadhaa wa hali ya kiwango cha kimataifa.
kulikuwa na uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa baadhi ya wanyama pori wanasafirishwa kisiri siri kupitia ndege za mizigo kutoka Loliondo wilaya ya Ngorongoro karibu na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, hadi Umoja wa Falme za Kiarabu.
Tetemeko hilo ni baya zaidi kuwahi kutokea Morocco tangu lile la mwaka 1960 lililouharibu vibaya mji wa Agadir na kusababisha vifo vya watu 12,000.
Ni dhahiri wazi Waziri wa Usalama wa Kitaifa nchini Kenya Prof. Kithure Kindiki ana azima ya kuleta mabadiliko makubwa katika idara ya uhamiaji iliyopo jumba la Nyayo Jijini Niarobi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Naibu wake, Dotto Biteko, kutafuta muarobaini wa changamoto ya uhaba wa mafuta ndani ya siku saba.
”Mmeandika historia kwani hii ni mara yetu ya 3 kufuzu tangu kuanzishwa kwa mashindano haya. Nawatakia kila la kheri.”
Rais wa mpito wa Gabon Jenerali Brice Oligui sasa ametangaza Ali Bongo yuko ‘huru’ na anaweza kuondoka nchini. Jenerali Oligui amesema hayo katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyosomwa moja kwa moja Jumatano jioni kwenye runinga ya taifa.