Kenya yaandikisha idadi ndogo ya vijana katika kura za mwezi Agosti
Idadi ya wapiga kura vijana waliojiandikisha katika uchaguzi wa Agosti nchini Kenya imepungua tangu uchaguzi uliopita miaka mitano iliyopita, tume ya uchaguzi IEBC
Idadi ya wapiga kura vijana waliojiandikisha katika uchaguzi wa Agosti nchini Kenya imepungua tangu uchaguzi uliopita miaka mitano iliyopita, tume ya uchaguzi IEBC
Mkosoaji mkali wa utawala wa kikatili wa Ubelgiji, Lumumba alikua waziri mkuu wa kwanza wa nchi yake baada ya DR Congo kupata uhuru wake mwaka 1960.
Afisa mmoja wa eneo hilo alilaumu mashambulizi hayo kwa wanajihadi na kusema idadi ya waliouawa walikuwa 24, akisema mauaji hayo yalitokea Ebak, takriban kilomita 35 kaskazini mwa Gao, mji mkuu wa mkoa huo.
Somalia imekuwa soko muhimu la uuzaji wa nje wa miraa nchini Kenya tangu Uholanzi na Uingereza zilipoweka marufuku mwaka wa 2012 na 2014 mtawalia
Viongozi wa mataifa saba yanayojumuisha muungano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki watakutana Jumatatu kujadili hali ya usalama katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Polisi wa Senegal waliziba njia ya kuelekea nyumbani kwake kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko baada yake kuitisha maandamano siku ya Ijumaa, wakati nchi hiyo ikiwa katika mvutano wa kabla ya uchaguzi.
Wataalamu huru wanaoripoti kwa Umoja wa Mataifa kuhusu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo walisema Ijumaa kuwa waasi wa M23 wanapanga kuuteka mji wa mashariki wa Goma, DR Congo
Bei ya mafuta ya petroli ilipanda na kufikia kiwango cha juu zaidi nchini Morocco na kuzua hasira miongoni mwa vyama vya wafanyakazi
Abubakar, mgombea wa chama cha Peoples Democratic Party (PDP) anawania kiti cha urais kwa mara ya sita na atakuwa anakabiliana na mgombea wa chama tawala na gavana wa zamani wa Lagos Bola Tinubu
Watu sita walikufa baada ya mvua kubwa kusababisha mporomoko ya ardhi katika mji mkuu wa Ivory Coast Abidjan