Burkina Faso: Idadi ya vifo kutokana na shambulio la kijihadi yaongezeka hadi 79
Nchi hiyo imekuwa chini ya uasi wa wanajihadi kwa miaka saba ambao wamesababisha mauaji ya zaidi ya watu 2,000 na kuwalazimu takriban watu milioni 1.9 kuondoka makwao.
Nchi hiyo imekuwa chini ya uasi wa wanajihadi kwa miaka saba ambao wamesababisha mauaji ya zaidi ya watu 2,000 na kuwalazimu takriban watu milioni 1.9 kuondoka makwao.
Kabuga mwenye umri wa maika 87, anadaiwa kuwa mfadhili wa mauaji ya halaiki ya mwaka 1994 yaliyosababisha vifo vya watu 800,000 hasa Watutsi
Wapiganaji wa kundi la waasi la M23 waliuteka mji wa Bunagana mashariki mwa jimbo la Kivu Kaskazini
Jaji Mkuu Martha Koome anamtaka Rais Uhuru Kenyatta ang’olewe madarakani kwa kukosa kuwateua majaji sita waliopendekezwa na Tume ya Huduma za Mahakama (JSC).
Kulingana na Taasisi ya Kitaifa ya Afya ya Marekani (NIH), karibu mtu mmoja kati ya 20,000 huzaliwa na ualbino, ambayo inaweza kuwa sawa na watu 400,000 kati ya watu bilioni 7.9 duniani.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imelaumu kuzuka upya kwa ghasia za hivi karibuni za M23 kwa nchi jirani ya Rwanda, na kusababisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili kudorora.
Ziara ya Mflame Philippe nchini DR Congo ilikuwa ya kwanza tangu kutawazwa mwaka wa 2013
Meli hiyo ya mifugo ilikuwa ikisafirisha wanyama hao kutoka Sudan hadi Saudi Arabia ilipozama
Papa Francis ataahirisha safari yake katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini kutokana na tatizo la goti, Vatican ilisema
Mashirika ya misaada yameonya kuhusu njaa huku visa vya utapiamlo miongoni mwa watoto vikiongezeka katika taifa hilo la Pembe ya Afrika