Upinzani Zimbabwe unaishutumu serikali kwa udanganyifu katika uchaguzi
Mnangagwa, ambaye alichukua madaraka mwaka 2017 baada ya Mugabe anashutumiwa kwa kuwanyamazisha wapinzani.
Mnangagwa, ambaye alichukua madaraka mwaka 2017 baada ya Mugabe anashutumiwa kwa kuwanyamazisha wapinzani.
“UVIKO 19 bado ni hatari ikiwa “83% ya wakazi wa Afrika bado hawajapokea dozi ya kwanza ya chanjo,” Tedros Adhanom Ghebreyesus WHO
Li alitolewa damu nyingi sana hivi kwamba watekaji wake walianza kumtoa damu kichwani kwani mishipa ya mikononi haikuweza tena kutoa damu ya kutosha.
Aliyekuwa waziri wa fedha na makamu wa rais wa CCC, Tendai Biti, pia alizuiliwa kwa saa kadhaa alipokuwa akifanya kampeni.
Maandamano yameitikisa nchi hiyo tangu mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan kuongoza unyakuzi wa kijeshi mwezi Oktoba
Kesi imepangwa kuanza Machi 4, wakati Mbowe na watuhumiwa wengine watakapowasilisha utetezi wao.
Walimu na wanafunzi hao walikuwa wakitoka katika safari ya kimasomo katika msafara wa mabasi matatu
“Mlalamikiwa (Ali Kiba) amefanya mzaha kwa ndoa yetu kwa kujihusisha bila heshima katika maonyesho ya hadharani ya uzinzi na wanawake mbalimbali bila kujali kabisa hisia za mlalamishi,” Khalef anasema
Poliomyelitis — neno la kimatibabu la polio ni virusi vya kuambukiza ambavyo hushambulia uti wa mgongo na kusababisha ulemavu usioweza kutenduliwa kwa watoto.
Walienda huko kwa dhamira kutoka kwa Rais Felix Tshisekedi ili kujadili masharti ya kusitisha mapigano na kuwakomesha uharifu katika eneo hilo.