• Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
  • Home
  • Politics
  • Business / Finance
  • Sports
  • Entertainment
  • Africa
  • East Africa
X-twitter Youtube Tiktok Facebook-f Icon-instagram-1 Linkedin Telegram Whatsapp

Author: Maureen Medza

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi Brazil imeongezeka hadi 104
International Nature

Idadi ya vifo kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi Brazil imeongezeka hadi 104

Maureen MedzaFebruary 17, 2022February 17, 2022

Wafanyakazi wa uokoaji wamefanya kazi usiku na mchana kutafuta manusura wowote waliosalia kati ya matope na mabaki baada ya mafuriko…

BioNTech kusafirisha vituo vya kuzalisha chanjo ya UVIKO 19 hadi barani Afrika
Africa Features International Lifestyle & Health

BioNTech kusafirisha vituo vya kuzalisha chanjo ya UVIKO 19 hadi barani Afrika

Maureen MedzaFebruary 17, 2022February 17, 2022

BioNTech ilisema inalenga kuanzisha “kituo cha kwanza cha uzalishaji wa chanjo katika Umoja wa Afrika”

Ajali ya basi yawaua watu 10 nchini Sudan
Africa

Ajali ya basi yawaua watu 10 nchini Sudan

Maureen MedzaFebruary 17, 2022February 17, 2022

Ajali ya basi kwenye barabara kuu katikati mwa Sudan siku ya Jumatano ilisababisha vifo vya takriban watu 10 na kuacha…

Watu wanane wafariki katika moto Ivory Coast
Africa

Watu wanane wafariki katika moto Ivory Coast

Maureen MedzaFebruary 17, 2022February 17, 2022

Watu wanane walifariki na wengine kadhaa kujeruhiwa wakati moto ulipoteketeza duka la kuoka mikate magharibi mwa Ivory Coast siku ya…

Matamshi ya Naibu Rais William Ruto kuhusu Wakongo yazua gadhabu  
East Africa People Politics

Matamshi ya Naibu Rais William Ruto kuhusu Wakongo yazua gadhabu  

Maureen MedzaFebruary 17, 2022February 17, 2022

Mjumbe wa Kenya DR Congo, alikiri kumekuwa na “maoni hasi”  baada ya matamshi ya Dkt Ruto kuhusu nchi hiyo kukosa uwezo wa kufuga ng’ombe wa maziwa.

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Tundu Lissu mjini Brussels
Africa East Africa Features People Politics

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Tundu Lissu mjini Brussels

Maureen MedzaFebruary 17, 2022February 17, 2022

Rais Samia na Kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu walijadili masuala mbalimbali yenye maslahi kwa nchi ya Tanzania,

Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso aapishwa kuwa rais
Africa Features People Politics

Mwanajeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso aapishwa kuwa rais

Maureen MedzaFebruary 16, 2022February 16, 2022

Paul-Henri Sandaogo Damiba alitawazwa kuwa rais siku ya Jumatano, zaidi ya wiki tatu tu baada ya kuongoza mapinduzi ya kumuondoa madarakani Rais Roch Marc Christian Kabore.

Shindano la urembo kwa kuku lafanyika mjini Tripoli,Libya
Africa Entertainment Middle East

Shindano la urembo kwa kuku lafanyika mjini Tripoli,Libya

Maureen MedzaFebruary 16, 2022February 16, 2022

Ndege hao waliwekwa katika mizani ya urembo kwa kuzingatia rangi ya manyoya yao na ukubwa umbo lao.

Wanamgambo wa waua 18 mashariki mwa DR Congo
Africa East Africa Politics

Wanamgambo wa waua 18 mashariki mwa DR Congo

Maureen MedzaFebruary 16, 2022February 16, 2022

mashambulizi ya CODECO yamesababisha mamia ya vifo na kusababisha zaidi ya watu milioni 1.5 kukimbia makazi yao

Sudan Kusini iko katika hatari ya kurejea vitani, Umoja wa Mataifa waonya
Africa East Africa People Politics

Sudan Kusini iko katika hatari ya kurejea vitani, Umoja wa Mataifa waonya

Maureen MedzaFebruary 16, 2022February 16, 2022

Taifa hilo jipya zaidi duniani limekumbwa na misukosuko tangu lilipopata uhuru mwaka 2011

Posts navigation

Older posts
Newer posts

Uncensored & Undaunted

Find Us Here

Facebook-f X-twitter Linkedin-in Youtube Instagram
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions
  • Privacy Policy
  • Terms & Conditions

Mwanzo Tv News 

All Rights Reserved © 2024

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policyOkNo