Mfalme wa jamii ya Khoisan akamatwa na polisi
Kikundi cha jamii ya Khoisan kimekuwa kikidai kutambuliwa, kurejeshewa ardhi na kutambuliwa kwa lugha yao
Kikundi cha jamii ya Khoisan kimekuwa kikidai kutambuliwa, kurejeshewa ardhi na kutambuliwa kwa lugha yao
“Ninajivunia kwamba sarafu hizi zinasherehekea michango ya baadhi ya wanawake waanzilishi wa Amerika, Janet Yellen.
Moto huo ulisababisha karibu kaya na ofisi 4,000, pamoja na hospitali, kukosa huduma ya mtandao kwa saa 28 hadi 50.
Kakwenza Rukirabashaija ameshtakiwa kwa makosa mawili ya “mawasiliano ya kukera” na kuwekwa rumande hadi Januari 21
Mali iliwekewa vikwazo baada ya kuchelewesha uchaguzi uliopangwa kufanyika Febuari 2022
Ofisi ya chama tawala cha Angola ilichomwa moto siku ya Jumatatu wakati wa maandamano ya madereva wa mabasi.
Mgogoro huo wa uchaguzi umezua mzozo mkali wa madaraka kati ya Roble na Rais Mohamed Abdullahi Mohamed
Uwanja wa ndege wa Kabul ulivamiwa mwezi Agosti wakati maelfu ya watu walipokuwa wakihama kwenda Amerika baada ya majeshi ya Amerika kuondoka Afghanistan.
Wanafunzi wapatao milioni 15 hawajahudhuria shule nchini Uganda tangu Machi 2020.
Mvua za ghafla zimenyesha sehemu za mkoa wa kusini ikijumuisha East London kwenye pwani ya Bahari ya Hindi