Jiji janja “15 minute City”
“15 minute city” ni mji ambapo wakaazi wote wanaweza kufikia sehemu zao kazi na maeneo ya burudani ndani ya robo saa kwa kutembea au kuendesha baiskeli
“15 minute city” ni mji ambapo wakaazi wote wanaweza kufikia sehemu zao kazi na maeneo ya burudani ndani ya robo saa kwa kutembea au kuendesha baiskeli
Wizara ya kilimo ya Malawi imemwandikia barua bingwa wa ndondi duniani Mike Tyson ikimuomba kuwa balozi wake maalum wa bangi…
Agizo hilo lilitolewa baada ya Ufaransa kuwa nchi ya hivi punde kuwashauri raia wake kuondoka Ethiopia, kufuatia ushauri sawa na wa Amerika na Uingereza
Mamlaka ya Ontario iliruhusu uwasilishaji na uchukuzi wa bangi wakati wa janga la UVIKO 19.
Baada ya wiki kadhaa za kifungo cha nyumbani, ambapo Sudan ilitikiswa na maandamano makubwa, alirejea rasmi serikalini chini ya makubaliano na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan
Watuhumiwa watatu wa ugaidi Musharaf Abdalla almaarufu Alex Shikanda, Joseph Juma Odhiambo, na Mohammed Ali Abikar walitoroka kutoka gereza la…
Rais Uhuru Kenyatta alitumia katiba kumteua Naibu Rais William Ruto kaimu rais kwa muda wa siku tatu alipokuwa The Hague Uholanzi.
Mnamo Julai 2003, redio inayoendeshwa na serikali ilimtangaza Obiang “mungu wa nchi” mwenye “nguvu zote juu ya wanadamu na vitu.”
Kuhasiwa kwa kemikali, hufanywa nchini Poland, Korea Kusini, Jamhuri ya Czech na baadhi ya majimbo ya Amerika.
Maisha ya wanafunzi hutegemea sana alama watakazopata katika mtihani huu wa Suneung kutoka chuo kikuu watakachosomea, hadi kazi watakazofanya, mshahara watakaopokea na hata uhusiano wa kimapenzi wa baadae