Kenya: Karua amkosoa rais mteule William Ruto
Mgombea mwenza wa Azimio la Umoja Martha Karua amemkashifu rais mteule William Ruto kwa kile ametaja kama kwenda kinyume na sheria ya Kenya katika kuvutia upande wake vyama washirika wa Azimio la Umoja.
Mgombea mwenza wa Azimio la Umoja Martha Karua amemkashifu rais mteule William Ruto kwa kile ametaja kama kwenda kinyume na sheria ya Kenya katika kuvutia upande wake vyama washirika wa Azimio la Umoja.
Seneta wa Marekani Chris Coons amekutana na kufanya mazungumzo na rais Uhuru Kenyatta.
Wakenya wanasubiri kuona jinsi mahakama ya upeo itashughulikia kesi ya urais iwapo Raila Odinga atawasilisha kesi mahamani,
Sasa ni wazi kuwa mgombea wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga atarejea katika mahakama ya upeo mwaka huu baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kumtangaza William Ruto kama mshindi wa uchaguzi mkuu wa agosti mwaka 2022.
Huenda wakenya wakafahamu kiongozi atakayechukua uongozi kutoka rais anayeondoka madarakani Uhuru Kenyatta leo
Uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka huu wa 2022 ulipelekea baadhi ya watu maarufu kujaribu bahati yao katika nyadhifa mbalimbali.
Sakaja sasa anakuwa gavana wa nne wa Nairobi na wa tatu kuchaguliwa na wakaazi; mpinzani wake Polycarp Igathe amekubali matokeo
Uchaguzi wa mwaka wa 2022 wa Kenya ulivutia idadi kubwa ya wanasiasa vijana wengi wakibwagwa huku wengine wakiwalambisha sakafu vigogo wa kisiasa.
Idadi ya wanwake waliochaguliwa magavana nchini Kenya imeongezeka maradufu kutoka watatu mwaka wa 2017 hadi saba mwaka huu wa 2022
Raila Odinga na William Ruto wamekuwa na uhusiano wa upendo na uhasama kwa muongo mmoja sasa, wote wakiwa wamechangia pakubwa…