-

Watuhumiwa wa ubakaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Iringa wadakwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewakamata watuhumiwa watano wa unyang’anyi kwa kutumia silaha ambao kati yao wawili wametambuliwa kuhusika katika tukio la ubakaji alilofanyiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (jina linahifadhiwa) wakati wakifanya…
-

Amnesty International :Polisi walitumia nguvu zaidi kuwaondoa wamaasai Loliondo
Ripoti ya shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International imeituhumu mamlaka nchini Tanzania kwa kutumia nguvu kupita kiasi pamoja na kuwazuilia jamii ya wamaasai wakati wakiwatimua katika eneo la Loliondo.
-

Dkt Mollel:Asilimia 70 ya mapato ya vituo vya afya inategemea NHIF
Naibu Waziri wa Afya nchini Tanzania Dkt. Godwin Mollel amesema , asilimia 70 ya Mapato ya vituo vya huduma za Afya vya Serikali pamoja na binafsi vinategemea Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)…
-

Biashara ya ngono yaongezeka kwa wakimbizi wa ndani DRC
Taarifa iliyotolewa jana na shirika hilo kutoka Geneva Uswisi imesema ukosefu wa amani huko mashariki mwa DRC umesababisha watu kuwa na hali mbaya ya kimaisha na ukiukaji wa haki za binadamu, ikiwa ni pamoja na…
-

Tear gas, arrests at Kenya protest over tax hike plans
The proposed legislation calls for new or increased taxes on a wide range of items including fuel and food as well as beauty products, crypto currencies and social media influencers.
-

Ujumbe wa amani wa Afrika katika vita vya Ukraine kuanza katikati ya Juni
Ujumbe huo uliozinduliwa na Ramaphosa mwezi uliopita unajumuisha marais wa Jamhuri ya Kongo, Misri, Senegal, Afrika Kusini, Uganda na Zambia.
-

World’s oldest-known burial site found in S.Africa: scientists
The oldest burials previously unearthed, found in the Middle East and Africa, contained the remains of Homo sapiens — and were around 100,000 years old
-

Kikundi cha densi cha Uganda, Ghetto Kids kimeshindwa kufika fainali ya Britain’s Got Talent
Kundi hilo la watoto sita wana umri wa kati ya miaka sita na 13, na walitoka katika jamii maskini katika mji mkuu wa Kampala
-

Mbowe, Lissu, Mnyika kuelekea Italia kwa ziara ya kikazi
Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema imeeleza kuwa katika safari hiyo, Mbowe ameambatana na viongozi wengine wawili wa chama hicho, ambao ni Makamu Mwenyekiti Bara,…
-

Al-Shabaab waliwaua wanajeshi 54 wa Uganda nchini Somalia, anasema Museveni
Kundi hilo lenye silaha lilidai kuwa lilifanya mashambulizi ya bomu la kujitoa mhanga mnamo Mei 26 na kuua wanajeshi 137







